Igizo Jipya la Perfumes

October 10, 2010 § 2 Comments

Ndugu mteja, perfume hizi zinapatikana Dar es salaam kwa kuwasiliana nasi kupitia email hii plusoneboutique@gmail.com au namba 0715711622. Bei za perfume zinaangukia mnamo Tsh 35,000 na 100,000 kutokana na ujazo, aina na designer. Perfume zote ni asili na zimeingizwa kutoka nchini Uingereza.

PERFUMES ZA KIKE

Britney spears-Curious 30mls
Price Tsh 45,000

Far Away by Avon 50mls & 30mls
Price Tsh 45,000 for 50mls & Tsh 35,000 for 30mls

Aromadisiac by Avon 50mls
Price Tsh 45,000

Perceive by Avon 50mls
Price Tsh 45,000

Provocative Woman by Elizabeth Arden 30mls
Price  Tsh 45,000

Glow by J-lo 50mls
Price Tsh 70,000

Maria Sharapova 30mls
Price 35,000

Nina by Nina Ricci 30mls
Price Tsh 75,000

Little Black Dress by Avon 30mls
Price Tsh 35,000

Still by J-lo 30mls
Price 50,000

Rare gold by Avon 50mls
Price Tsh 45,000

 

PERFUMES ZA KIUME

Perceive by Avon 50mls
Price Tsh 45,000

Cool Water by Davidoff 40mls
Price Tsh 80,000

Gicci II by GUCCI 50mls
Price Tsh 100,000

Hugo (Dark Blue) by Hugo Boss 75mls
Price Tsh 100,000

Masculine by D&G 30mls
Price Tsh 85,000

XS by Paco Rabanne 30mls
Price Tsh 70,000

XS Black by Paco Rabanne 30mls
Price Tsh 75,000

Pi by Givenci 30mls
Price Tsh 80,000

Polo Sport by Ralf Lauren 40mls
Price Tsh 85,000

Unforgivable by Sean John 30mls
Price Tsh 80,000

Tommy by Tommy Hilfiger 30mls
Price Tsh 70,000

Hugo Man by Hugo 40mls
Price Tsh 85,000

1881 by Cerruti 50mls
Price Tsh 70,000

Man by Paul Smith 30mls
Price Tsh 75,000


Calvin Klein – BE (Unisex), 50mls
Price Tsh 70,000


GAP – Original Individual, 100mls
Price Tsh 80,000

 

Advertisements

Ingizo Jipya la Viatu

September 4, 2010 § Leave a comment

Plus one Boutique inawaletea bidhaa zinazoonekana hapa chini kwa gharama nafuu kabisa. Tutumie email kwa maswali, order au upatikanaji wa size tofauti, Pia unaweza kutupigia simu kupitia namba 0715711622, Tunapatikana Dar es salaam. Bei za viatu zinatofautiana kutokana na aina na ubora wa bidhaa yenyewe, kwa ujumla zinaangukia kati ya Tsh 50,000 na 65,000 kwahiyo tutumie email au tupigie simu kwa maelezo zaidi Size zilizopo ni 4, 5, 6 na 7 (UK Sizes). Viatu vyote ni Ngozi Asili na vimeingizwa nchini kutoka Uingereza. Karibuni


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Karibu

August 29, 2010 § Leave a comment

Karibu mteja, Tunapenda kukutaarifu ingizo letu jipya la VIATU na PERFUMES limewadia. Bidhaa zote zinapatikana kwa gharama nafuu zenye ubora na madhubuti kutoka Uingereza.  Yeyote mwenye uwezo wa kufika kwenye kiota hiki na kuwasiliana nasi ni mteja wetu.  Tunahusika na Manukato, Mavazi na Viatu . Kama una kitu, bidhaa au huduma unayofikiri tunaweza kuwa mstari wa mbele kukusaidia basi usisite kuwasiliana nasi kupitia anuani hii ya barua pepe plusoneboutique@gmail.com. Kuhusu Mzipo mpya wa Perfume na viatu vinavyoonekana hapo kwenye picha tupigie simu 0715711622 nje ya muda wa kazi yaani kuanzia saa 11 jioni. Karibu tufanye biashara.

  • Categories

  • Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

    Join 4 other followers